Burudani hiyo ilikusudia kuwakaribisha Wananchuo wote wa Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu Cha Sokoine(SUA) Morogoro.
Safari ya Kuelekea Gronency Hotel ilianza mida ya sa 3 Usiku kutoka Campus zote mbili. |
Makamo Rais-(SUASO) Bwn Leonard Shoo alikua ni Mgeni Rasmi katika Tamasha Hilo. |
MC Makini kabisa Mwanadada wa kipekee ndo ali Host Show Nzima Siku Hiyo. |
Bwn Leonard Shoo,Makamo Rais(SUASO)Akitoa neno la Kuwakaribisha Freshers siku Hiyo. |
Wadau mbalimbali kutoka SUA Wakifatilia Tamasha hilo. |
Msanii wa Kizazi Kipya Belle 9 Alitumbuiza katika Tamasha Hilo. |
Ukafika Mda wa Kuserebuka na Kuchezesha Nyonga, Daah,Ilikuwa Nouma sana. |
No comments:
Post a Comment