Saturday, January 11, 2014

FURSA YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA VYUO VIKUU-MOROGORO.



FURSA YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA VYUO VIKUU-MOROGORO.
Tarehe 18.01.2014 Saa 4:00 Asubuhi Kutakua na Event ya Vyuo Vikuu vya Morogoro(Tanzania Youth entrepreneurship)Kwa Ajili ya Kuonesha kazi za Wanafunzi Vyuo Vikuu.
 Mgeni Rasimi atakua Mkuu wa Mkoa Mh. Bendela
Kampuni Mbalimbalizitakuwepo(TANAPA,NSSF,CRDB,AIRTEL,VODACOM,NMB,SERENGETI n.k)Kwa ajili ya Kuwawezesha Vijana Wa Vyuo Vikuu.
Event  Itafanyikia SAVOY HOTEL Na ni bure Kabisa.
Kama unakazi ya Kuonesha Hii ni fursa ya Kipekee kabisa.
Mawasiliano zaidi-0788837468,0713149099.
Unakaribishwa Sana,Vijana Wajasiriamali Hii ni FURSA PEKEE YA KUTAMBUA NA KU-CREATE IDEAS KWA AJILI YA BUSINESS. USIKOSE FURSA HII ADHIMU.

             Mh Joel Bendela-Mkuu wa Mkoa Morogoro,anatarajiwa kua Mgeni rasimi Siku hiyo.

Exclusive to balelemwanahabari ©2014.
 



No comments:

Post a Comment