Hapa daraja la kigamboni likiendelea kujengwa eneo la kurasini ktk bahari ya hindi jijini Dar es Salaam,
Daraja hili linatarajiwa kuwa la kipekee. kwa kua na njia 6 pamoja na barara za juu
Mchoro unaoonesha jinsi daraja hili litakavyokua baada ya kukamilika kujengwa chini ya mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF)
No comments:
Post a Comment