|
SHAROBARO KULIA AKIWA NA MZEE MAJUTO ENZI ZA UHAI WAKE KTK MOJA YA TUZO |
Habari za kuaminika kutoka
Muheza Mkoani Tanga zinasema kua yule Muigizaji na Mwanamuziki maarufu hapa nchini
Hussein Ramadhan Mkieti a.k.a Sharo Millionaire amefariki Dunia jana usiku 26 Nov 2012 saa 2 usiku katika ajali ya gari KTK Kijiji cha LUSANGA Muheza Tanga alipokua akielekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.Habari hizi zimethibitishwa na kamanda wa polisi mkoani Tanga,
Constatine Masawe.
|
MWILI WA SHARO BAADA YA KUPATA AJALI |
|
SHARO MILLIONAIRE ENZI ZA UHAI WAKE |
No comments:
Post a Comment