Hayawi hayawi mwishowe yakawa,ile siku ambayo watu wengi wallisubiri ili kushehereka pamoja kama familia moja ya wataalamu watarajiwa wa misitu,ilifikia kikomo rasmi siku ya jana tar 16/11/2012 katika hotel maarufu mjini Morogor
o-SAVOY HOTEL.
Kama ni asilimia basi nadiriki kusema kua ilikua ni aslimia 99 na kama ni furaha basi ni zaidi ya yote.
Tafrija hiyo ilifanyika chini ya Uongozi wa Tanzania Forestry Students'Association(TFSA)
Shughuli ilianza rasmi mida ya sa moja jioni ambapo washiriki walionekana wapya kutokana na vikali walivyokua wametupia huku baadhi wakiibuka kua
super stars wa siku,
washiriki wote walikula na kunywa ipasavyo huku brudani ikitawala.shughuli ilikamilika rasmi majira ya sa 6:30 usiku huku baadhi ya washiriki wakitamani brudan iendelee paka asubuhi
Katika hotuba yake Mgeni rasmi
Dr. Dos Santos aliwahakikishia wataalamu watarajiwa wa misitu kua wapo ktk upande sahihi hivyo wasiwe na wasiwasi katika suala la ajira kwa kua suala la misitu ni endelevu lenye tija katika nchi yetu na duniani kwa ujumla kutokana na mikakati ya uhifadhi wa mazingira
Pia mgeni rasmi aliishauri
TFSA kuhakikisha kua inabuni miradi mbalimbali ili kujiimarisha kiuchumi
Sanjari na hayo pia kulifanyika mchango maalumu wa
kujenga mfuko wa TFSA ambapo jumla ya Tsh.453,000/=. zilipatikana.
|
washiriki wakiwasili SAVOY HOTEL tayari kwa kuanza shughuli ya kushehereka |
|
Hapa ukumbi ulipendeza sana baada ya kupambwa na wanadada wenye mafunzo ya upambaji kutoka China. |
|
Mwanadada Milkajeni Sangiwa akiwasili ukumbini na keki maridadi kabisa yenye viwango vya kimataifa |
Hii pair ilimvutia kila mtu mahali pale,Bwn Oscar akiwa na Pertner wake ktk zero distance |
|
Vinywaji kila aina vilipatikana |
|
Mda si mrefu waggling ikaanza kama ishara ya ufunguzi wa tafrija hiyo |
|
Vijana washehereshaji wakifanya mambo yao jukwaani |
|
Waggling ikiendelea |
|
HAPA VIJANA WALIOPENDEZA ZAID WAKIWA WAMEICHAFUA MEZA |
|
VIJANA WATANASHATI WAKIWA WAMEPENDEZA VILIVYO |
|
MGENI RASMI DR.SANTOS(WA PILI KUSHOTO)MKUFUNZI KUTOKA SUA MR.KILAWE(WA KWANZA KUSHOTO),MWENYEKITI WA TFSA(BWN. SHADRACK MFILINGE)NA DADA JANE WAKIWA WAMEICHAFUA MEZA VILIVYO) |
|
VIJANA WATANASHATI CHINI YA KAJIN MASTER a.k.a MR.KIDUKU KTK POZI |
|
KATIKA SHAMRA SHAMRA HAPAKOSI VITUKO VYA HAPA NA PALE |
|
WASHIRIKI WALIKULA NA KUNYWA MPAKA BASI. |
|
BAADA YA CHAKULA BRUDANI KAMA KAWAIDA,ILIKUA NI WAGGLING DANCING KWA KWENDA MBELE |
|
BRUDANI IKIENDELEA, |
No comments:
Post a Comment