Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati za maandalizi ya sherehe hiyo Bwn,OYUGI kutoka SUA Forestry class year 3,amethibitisha kua mpaka sasa wanategemea kua na wageni wasiopungua 100.
Ameeleza kua sherehe hiyo inatarajiwa kua ya kiutofauti ukilinganisha na sherehe nyingine za nyuma na zaidi ya sherehe za association nyingine HAPA SUA.
Mwenyekiti wa TFSA Bwn Shadrack Mfilinge amedai kua "unajua ndg yangu Balele Mwanahabari,TFSA ni Association kubwa na yenye nguvu hapa SUA kutokana na Uongozi thabiti Ukilinganisha na association nyingine"Hivyo basi inatakiwa pia kuonesha kua sisi ni watu makini na very strong ktk utendaji kwa kila jambo likiwemo suala la sherehe hii.
Nae Makamu mwenyekiti wa TFSA Bwn Lazaro Nko amedai kua wanataraja kua na wageni mbalimbali wakiwemo wakufunzi wakuu Senior professors and Doctors wasiopungua10,kutoka ktk kitivo Cha misitu.
Mchango wa sherehe hiyo umetajwa kua ni Tshs.12,000/= Na sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika tarehe 16/11/2012 siku ya J MOSI Katika Hotel maarufu-SAVOY uliyoko Mjini Morogoro.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe hiyo Bwn Oyugi akiwa na Katibu wake ktk moja ya vikao vya maandalizi ya sherehe hiyo
Wanakamati wakifatilia kwa makini moja ya kikao cha maandalizi ya sherehe hiyo ktk ukumbi wa Roundcafeteria SUA
Wanakamati ktk moja ya vikao
Mr.Ali Juma(kulia)- FACULTY representative akifatilia kwa makini ktk moja ya vikaohivyo. |
Viongozi wa TFSA, Makamu mwenyekiti na Katibu mkuu wakifatilia kwa makini ktk moja yakikao hicho |
Viongozi Wa TFSA(Mwenyekiti,Makamu mwenyekiti na Katibu mkuu) wakifatilia kwa makini ktk moja yakikao |
Mr.Obadia ktk moja yakikao |
wanakamati wakifatilia kwa makini mchanganuo wa gharama za sherehe hiyo
great job Mr. Balele
ReplyDeleteThanx braza,Iam just trying to play my part.
ReplyDelete