Raisi Kikwete amesema kua Mhashamu Balina alikua mdau mkubwa wa elimu hapa nchini.
Raisi amesema hayo jana ktk mazishi ya aliyekua Askofu mkuu wa jimbo la Shinyanga Aloysius Balina mjini yaliyofanyika katika kanisa la Mama wa Huruma Parokia ya Ngokolo Mjini Shinyanga,Aliyefariki tar 6 nov 2012.
Raisi Kikwete akiweka mchanga katika kaburi la Mhashamu Aloysius Balina.
Mbali ya Raisi Kikwete,Mama Maria Nyerere na Raisi wa awamu ya tatu ndg,Mkapa pia walihudhuria mazishi hayo ya Mhashamu Aloysius Balina
No comments:
Post a Comment