Friday, November 2, 2012

WELCOME / KARIBUNI

                   welcome in my new blog.
                                     for
                               the recent
                            and updated
                                 info
                                please 
                             always visit 
                                   at
              
www.balelemwanahabari.blogspot.com
Ndg zangu,natimiza wajibu huu  wa kuipasha jamii habari mbalimbali kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 sheria ya 1984 Na.15 ib.6 inayosomeka hivi.

Haki ya Uhuru wa Mawazo
Uhuru wa
Maoni Sheria ya
1984 Na.15 ib.6 
Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru
kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta,
kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo
chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa
mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu
matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu
kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala
muhimu kwa jamii.


 

No comments:

Post a Comment