Saturday, November 3, 2012

JIJI LA DAR ES SALAAM

Dar es Salaam ni jiji kubwa kuliko yote hapaTanzania.
Historia inaonesha kuwa jiji hili zamani liliitwa Mzizima,Jina la Dar es Salaam lilitokana na Sultan Seyyid Majid baada ya kuliita Dar es Salaam jina linalotoka kwenye kiarabu "Dar as Salam" lenye kumaanisha nyumba ya amani





Dar inakadiliwa kuwa na wakazi wapatao milion 3.

Uwanja mkuu wa ndege wa kimataifa upo Dar es Salaam,unaojulikana kwa jina la Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere


Dar es Salaam pia ni maarufu kwa bandari kubwa ktk bahari ya hindi inayohusisha na uingizaji wa bidhaa mbalimbali za kilimo,ufugaji,ujenzi,magari n.k

kiutawala Dar es Salaam imegawanyika ktk wilaya za Temeke,Ilala Na Kinondoni.
Pia Dar es Salaam ndiko iliko Ikulu na Wizara zote
Ikulu ya Tanzania iliyoko jijini Dae es Salaam

No comments:

Post a Comment