Rais wa serikali ya wanafunzi ya Chuo kikuu cha Dodoma(UDOM)-UDOSO, Bwn. Paul Yunge,ameanzisha tume maalumu ya kuchunguza wanaojihusisha na ukahaba chuoni hapo,hali hiyo
Hali hiyo imefuatiwa baada ya vyombo vya habari kuripoti kua kuna baadhi ya wasichana chuoni hapo wanajihusisha na ukahaba ktk mitaa mbalimbli mjini DODOMA
Bwn Yunge amedai kua ni fedheha kubwa kwa wasomi wetu kujihusisha na vitendo vibaya vilivyo kinyume na maadili ya mtanzania
"Tunafanya uchunguzu kubaini ukweli wa tuhuma hizi,kwa watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kinidhamu kwa kua ni aibu kubwa kwa chuo kizima,wazazi na watanzania kwa ujumla"
No comments:
Post a Comment