Mwanza ilianzishwa na Wajerumani wakati wa ukoloni wa Afrika chini ya ukoloni wa Mjerumania
Koloni hili liliteuliwa kutokana na kua na bandari asilia upande wa kusini mwa ziwa Victoria.
Wajerumani waliuita mji kwa jina la" Muansa",inaaminiwa ilikua ni matamshi yao ya neno" Nyanza"
Idadi ya wakazi inakadiriwa kuwa 378,327(sensa1992)
Jiji la Mwanza ni jiji la pili (2)kwa ukubwa baada ya jiji la Dar-es Salaam.
wilaya za jiji la mwanza ni Ilemela na Nyamagana.
JIJI la mwanza ni maarufu kwa samaki aina ya SATO na SANGARA
Kabila kubwa jijini humo ni wasukuma,
Wakerewe pia wanapatikana katika jiji hili.
kutokana na muingiliano wa shughuli za kibiashara kwa sasa makabila ya Wahaya,Wakurya na mengineyo ni maarufu pia jijini hapa
JIJI hili ni maarufu kwa jina The Rock city kutokana na milima mingi ambapo kuna makazi ya watu,lakini pia kutokana na Bismack rock,iliyoko pembezoni mwa ziwa victoria maeneo ya kamanga ferry.
Bismack rocks ktk jiji la Mwanza.mawe haya yamekua unique identity ya mkoa huu
Jiji hili pia ni maarufu kwa watu maarufu hapa nchini na kwengineko,kama Wanasiasa,Wacheza mpira,Wasanii wa mziki na hata Mwandishi wa blog hii ndiko anakotoka
MSANII MKONGWE TANZANIA WA HIP HOP( FID Q),PIA NI MKAZI WA JIJI LA MWANZA |
MBUNGE MWANASIASA MACHACHARI EZEKIA WENJE PIA ANATOKA MWANZA |
FABIAN FRANK BALELE,MWANDISHI WA BLOG HII PIA NI MKAZI WA JIJI LA MWANZA |
MCHEZAJI MAARUFU MRISHO NGASSA PIA NI MKAZI WA JIJI LA MWANZA |
FABIAN FRANK BALELE ,MWANDISHI WA BLOG HII PIA NI MKAZI WA JIJI LAMWANZA |
KISIWA CHA SAA 8,NJE KIDOGO YA JIJI NDIMO KUNA VIVUTIO KAMA HIVI |
SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA-MWANZA ,MOJA YA VYUO VIKUU JIJINI MWANZA |
CATHOLIC UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE-BUGANDO-MWANZA TANZANIA |
FLORIDA HOTEL JIJINI MWANZA |
MALAIKA BEACH RESORT JIJINI MWANZA |
CCM KIRUMBA UWANJA WA PILI KWA UKUBWA NA UZURI TANZANIA PIA UPO JIJINI MWANZA |
TAI FIVE HOTEL MAENEO YA KITANGIRI JIJINI MWANZA ( UKIFIKA MWANZA UTALALA USINGIZI MZURI KABISA) |
BAADHI YA MITAA YA JIJI |
BAADHI YA SEHEMU YA JIJI KAMA INAVYOONEKANA KUTOKA JUU
MTI HUU ULITUMIKA KAMA SEHEMU YA KUWANYONGEA WAHALIFU ENZI ZA MKOLONI MJERUMANI
KARIBUNI
SANA, KTK JIJI
LA
LA
MWANZA UJIVUNIE
UTANZANIA WAKO
No comments:
Post a Comment