Tuesday, November 6, 2012

BREAKING NEWS:

ALOYSIUS BALINA MHASHAMU ASKOFU MKUU JIMBO KATOLIKI LA SHINYANGA MJINI AFARIKI DUNIA.




         

Aliyekua Askofu mkuu jimbo katoliki Shinyanga Mjini Mhashamu Aloysius Balina amefariki Dunia leo asubuhi ktk hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza alikokua akipata matibabu kutokana na kuugua kansa.
Taratibu za maziko zitafanyika kadiri uongozi wa kanisa utakavyopanga
Awali amewahi kuwa askofu mkuu wa kwanza Jimbo katoliki la Geita.
kuzaliwa 21 June 1945.Isoso Ntuzu Bariad
BWANA ALITOA,BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE

No comments:

Post a Comment