Monday, February 4, 2013

"SUA INTER-FACULTY COMPETITION' YAPAMBA MOTO,FACULTY YA FORESTRY YATABIRIWA KUIBUKA MSHINDI WA MASHINDANO.

Mashindano ya vitivo mbalimbali Chuo kikuu cha Sokoine yamezidi kupamba moto baada ya vuta nikuvute ya timu mbalimbali huku timu zote zikitupiana vijembe vya hapa na pale.

Katika mashindano yaliyofanyika juzi jumapili,Kikosi cha Timu ya Kitivo cha Misitu na hifadhi ya Mazingira kiliibuka kidedea Baada ya kuwacharaza Mahasimu wao wakubwa wa Kitivo cha Kilimo(Agriculture Engineering) Kwa ushindi Mnono wa Magori 2-1.

Hapo nyuma Timu ya kitivo cha Misitu na hifadhi ya mazingira(Faculty of Forestry and nature coinservation)iliibuka kidedea kwa kuichapa timu ya kitivo cha Udaktari wa Mifugo(Faculty Of veterinary medicine) gori moja. 

Huku mahasimu wao wa Agriculture Engineering walianza vizuri ktk mechi ya ufunguzi baada ya kuwachapa Agriculture General 4-2,baadae kuwachapa tena Veterinary Medicine 2-1.

Wasemaji wakubwa wa timu ya( Forestry and Nature conseravation) Bwn Sadalah Ally na Mstapha Moust wamejinadi kua wanauhakika wa kuibuka washindi wa mashindani hayo kwani timu kubwa waliyokua wakiihofia ni Agriculture engineering pekee ambayo wamepunguzia kasi kwa kuichapa hapo juzi.

Mashindano hayo yamesimama kupisha kipindi cha Maandalizi ya mitihani ya kumaliza Semester na yataanza tena rasmi mwezi April mwaka huu.
Mashindano haya yanahusisha kampasi zote mbili,Main Campus na Solomon Mahlangu Campus
Katika mashindano hayo Mshindi wa kwanza atapata Pesa taslimu kiasi cha Tsh,400,000/=
Huku Mshindi wa Pili atajinyakulia jumla ya Tsh.250,000/=
Na mshindi wa tatu atajinyakulia Tsh. 150,000/=

Msimamo mzima wa League ni kama inavoonekana hapa chini



SOLOMON MAHLANGU CAMPUS
FACULTY
P
W
L
D
GF
GA
GD
PTS
PST
EDUCATION
2
2
0
0
4
2
+2
6
1st
AEA,BRB
2
1
0
1
5
2
+3
4
2nd
BRD
1
0
0
10
2
2
0
1
3rd
INFO,AAE,DTC
1
0
1
0
1
2
1
0
4th
BTM
2
0
2
0
1
5
-4
0
5th
MAIN CAMPUS
ENG,FST,AGR,HORT
3
2
1
0
7
4
+3
6
1st
FORESTRY
2
2
0
0
3
1
+2
6
2nd
AGR GEN,AQUA,ANS,HN,FCS
3
2
1
0
7
6
+1
6
3rd
DIP & POST GRADUATE
1
0
1
0
1
2
-1
0
4th
BVM& BLS
3
0
3
0
1
0
-5
0
5th
NOTE:

P-      TOTAL NO. OF MATCH PLAYED

W-    TOTAL NO OF MATCH THAT A TEAM WON

L-      MATCH IN WHICH A TEAM WAS DEFEATED

D-     DRAWN MATCH e.g. 0-0,2-2, etc.

GF-   GOALS THAT A TEAM WON

GD-   THE GOALS DIFFERENCE(- or +)

PTS-    POINTS

PTSN-  POSITION

VIJANA WA (FACULTY OF FORESTRY AND NATURE CONSERVATION) WALIOWACHARAZA BAKORA ZA UHAKIKA MAHASIMU WAO AGR.ENGINEERING
VIJANA WA AGR. ENG WALIOLIZWA VIBAYA NA MAHASIMU WAO.



H
WAAMUZI WA PAMBANO HILO.
VIJANA WA( FORESTRY AND NATURE CONSERVATION) WAKILISAKAMA LANGO LA MAHASIMU WAO
KOCHA WA KIKOSI CHA FORESTRY AND NATURE CONSERVATION AKIBEBWA JUU BAADA YA USHINDI WA TIMU YAKE.
 OBADIA MSEMO BEKI WA KULIA WA FORESTRY AND NATURE CONSERVATION.
SHABIKI WA UKWELI WA FORESTRY AND NATURE CONSERVATION,AKISHANGILIA USHINDI MARA BAADA YA PAMBANO HILO KUMALIZIKA.

No comments:

Post a Comment