Rais wa serikali ya wanafunzi ya Chuo kikuu cha Dodoma(UDOM)-UDOSO, Bwn. Paul Yunge,ameanzisha tume maalumu ya kuchunguza wanaojihusisha na ukahaba chuoni hapo,hali hiyo
Hali hiyo imefuatiwa baada ya vyombo vya habari kuripoti kua kuna baadhi ya wasichana chuoni hapo wanajihusisha na ukahaba ktk mitaa mbalimbli mjini DODOMA
Bwn Yunge amedai kua ni fedheha kubwa kwa wasomi wetu kujihusisha na vitendo vibaya vilivyo kinyume na maadili ya mtanzania
"Tunafanya uchunguzu kubaini ukweli wa tuhuma hizi,kwa watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kinidhamu kwa kua ni aibu kubwa kwa chuo kizima,wazazi na watanzania kwa ujumla"
Friday, November 30, 2012
SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE 28TH GRADUATION CEREMONY
TAR 23/12/2012 Kumefanyika mahafali makubwa ya 28 chuo kukuu Sokoine Morogoro ktk ukumbi wa Freedom Square,kampasi ya Solomon Mahlangu-Mazimbu.
Katika mahafali hayo yaliyoongozwa na Mkuu wa chuo (Hon.Al Noor Kassum),jumla ya wahitimu 1870 walitunukiwa Astashahada(certificates),Stashahada(diploma),shahada za kawaida(Bachelor degree),shahada za uzamili(Masters),na Shahada za udaktari wa Falsafa(PhD) mbalimbali zitolewazo chuoni hapo.
|
|
ALL GRADUANDS
|
MALE
|
FEMALE
|
TOTAL
|
|
1
|
UNDERGRADUATES
|
1114
|
451
|
1565
|
|
2
|
NON DEGREE
PROGRAMS(Dipl.in Records Archives&infor Mgt,Dipl in
Information&Library Sciences
|
57
|
54
|
111
|
|
3
|
Masters Programs
|
128
|
43
|
171
|
|
4
|
PhD Programs
|
12
|
11
|
23
|
|
|
TOTAL
|
1311
|
559
|
1870
|
MATUKIO KATIKA PICHA
MABADIRIKO YA KONGAMANO LA VIJANA -MOROGORO
Lile kongamano kubwa la vijana Morogoro,lililokua lifanyike tar 1/12/2012 sasa kufanyika 2/12/2012 kuanzia sa 3-8 mchana. Savoy main Hall, na si Forest Hill Sec.School hall kama ilivyoelezwa hapo mwanzo. mabadiriko hayo yamefanywa na uongozi wa umoja wa chadema vyuo vikuu(CHASO)MOROGORO kutokana na sababu mbalimbali,
Mada kuu ktk kongamano hilo ni pamoja na:
1)Ushirika wa vijana ktk siasa kwa maendeleo ya Taifa
2)Mtazamo wa vijana juu ya usimamizi wa Rasilimali za Taifa
3)Kuporomoka kwa uchumi wa Taifa na athari zake kwa vijana
4)Matumizi mabaya ya nguvu za nguvu za dola ktk siasa na athari zake kwa maendeleo ya Taifa.
Vijana mbalimbali kutoka vyuo vikuu Morogoro wanatarajiwa kuhudhuria ktk kongamano hilo.
Vijana kutoka-Sokoine university,Mzumbe university,Jordan University,Muslim university,Ardh,Liti-Morogoro,MSJ-Morogoro na Ujenzi college, wanatarajiwa kuhudhuria.
Wasemaji wakuu wakiongozwa na Aliyekua Mbunge mwanaharakati wa Arusha mjini Bwn Godbless lema ni pamoja na
1)Godbless Lema-Aliyekua mbunge-Arusha mjini
2)Mchungaji Peter Msigwa-Mzee wa falsafa, Mbunge-Iringa Mjini
3)John Heche-M/kiti-Bavicha
4)Munish Deo-katibu Bavicha
5)Rose Kamili-Mbunge
6)Susan Kiwanga-Mbunge
![]() |
| GODBLESS KEMA |
![]() |
| Mch.Peter Msigwa |
![]() |
| John Heche |
Monday, November 26, 2012
R.I.P SHARO MILLIONAIRE
![]() |
| SHAROBARO KULIA AKIWA NA MZEE MAJUTO ENZI ZA UHAI WAKE KTK MOJA YA TUZO |
![]() |
| MWILI WA SHARO BAADA YA KUPATA AJALI |
![]() |
| SHARO MILLIONAIRE ENZI ZA UHAI WAKE |
Saturday, November 17, 2012
TFSA WELCOME FIRST YEAR PARTY PALIKUA HAPATOSHI
Hayawi hayawi mwishowe yakawa,ile siku ambayo watu wengi wallisubiri ili kushehereka pamoja kama familia moja ya wataalamu watarajiwa wa misitu,ilifikia kikomo rasmi siku ya jana tar 16/11/2012 katika hotel maarufu mjini Morogoro-SAVOY HOTEL.
Kama ni asilimia basi nadiriki kusema kua ilikua ni aslimia 99 na kama ni furaha basi ni zaidi ya yote.
Tafrija hiyo ilifanyika chini ya Uongozi wa Tanzania Forestry Students'Association(TFSA)
Shughuli ilianza rasmi mida ya sa moja jioni ambapo washiriki walionekana wapya kutokana na vikali walivyokua wametupia huku baadhi wakiibuka kua super stars wa siku,
washiriki wote walikula na kunywa ipasavyo huku brudani ikitawala.shughuli ilikamilika rasmi majira ya sa 6:30 usiku huku baadhi ya washiriki wakitamani brudan iendelee paka asubuhi
Katika hotuba yake Mgeni rasmi Dr. Dos Santos aliwahakikishia wataalamu watarajiwa wa misitu kua wapo ktk upande sahihi hivyo wasiwe na wasiwasi katika suala la ajira kwa kua suala la misitu ni endelevu lenye tija katika nchi yetu na duniani kwa ujumla kutokana na mikakati ya uhifadhi wa mazingira
Pia mgeni rasmi aliishauri TFSA kuhakikisha kua inabuni miradi mbalimbali ili kujiimarisha kiuchumi
Sanjari na hayo pia kulifanyika mchango maalumu wa kujenga mfuko wa TFSA ambapo jumla ya Tsh.453,000/=. zilipatikana.

| washiriki wakiwasili SAVOY HOTEL tayari kwa kuanza shughuli ya kushehereka |
| Hapa ukumbi ulipendeza sana baada ya kupambwa na wanadada wenye mafunzo ya upambaji kutoka China. |
| Mwanadada Milkajeni Sangiwa akiwasili ukumbini na keki maridadi kabisa yenye viwango vya kimataifa |
| Hii pair ilimvutia kila mtu mahali pale,Bwn Oscar akiwa na Pertner wake ktk zero distance |
| Vinywaji kila aina vilipatikana |
| Mda si mrefu waggling ikaanza kama ishara ya ufunguzi wa tafrija hiyo |
| Vijana washehereshaji wakifanya mambo yao jukwaani |
| Waggling ikiendelea |
| HAPA VIJANA WALIOPENDEZA ZAID WAKIWA WAMEICHAFUA MEZA |
| VIJANA WATANASHATI WAKIWA WAMEPENDEZA VILIVYO |
| MGENI RASMI DR.SANTOS(WA PILI KUSHOTO)MKUFUNZI KUTOKA SUA MR.KILAWE(WA KWANZA KUSHOTO),MWENYEKITI WA TFSA(BWN. SHADRACK MFILINGE)NA DADA JANE WAKIWA WAMEICHAFUA MEZA VILIVYO) |
| VIJANA WATANASHATI CHINI YA KAJIN MASTER a.k.a MR.KIDUKU KTK POZI |
| KATIKA SHAMRA SHAMRA HAPAKOSI VITUKO VYA HAPA NA PALE |
| WASHIRIKI WALIKULA NA KUNYWA MPAKA BASI. |
| BAADA YA CHAKULA BRUDANI KAMA KAWAIDA,ILIKUA NI WAGGLING DANCING KWA KWENDA MBELE |
| BRUDANI IKIENDELEA, |
MHADHARA WA KUMBUKUMBU YA HAYATI SOKOINE WAFANYIKA CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE MOROGORO
Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal alikua Mgeni rasmi na Msemaji mkuu ktk Mhadhara wa 13 wa kumuenzi Hayati Moringe Sokoine uliofanyika jana tar 16 Nov.2012 Katika ukumbi wa Freedom Square ulioko chuo kikuu cha Kilimo Sokoine(SUA) Morogoro ktk CAMPUS ya Solomon Mahlangu.
Katika mhadhara huo,wageni mbalimbali na wanataaluma wakiwemo pia wanafunzi wa chuo hicho walipata nafasi ya kujumuika pamoja na kusikiliza hotuba iliyotolewa na Msemaji mkuu Dr. Gharib Bilal.
Miongoni mwa wageni hao alikua ni Mkuu wa chuo hicho(Al Noor Kassum) na makamu wake(Prof.Monela),wakuu mbalimbali wa idara za chuo,Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Naibu waziri wa Elimu,Mkurugenzi wa Elimu ya Juu na wengine wengi.
Wanafunzi wa chuo hicho pia walipata nafasi ya kumuuliza msemaji mkuu Dr. Bilal maswali
mbalimbali.
Katika mhadhara huo,wageni mbalimbali na wanataaluma wakiwemo pia wanafunzi wa chuo hicho walipata nafasi ya kujumuika pamoja na kusikiliza hotuba iliyotolewa na Msemaji mkuu Dr. Gharib Bilal.
Miongoni mwa wageni hao alikua ni Mkuu wa chuo hicho(Al Noor Kassum) na makamu wake(Prof.Monela),wakuu mbalimbali wa idara za chuo,Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Naibu waziri wa Elimu,Mkurugenzi wa Elimu ya Juu na wengine wengi.
Katika hoyuba yake Dr. Bilal aliwaasa wasomi wa Tanzania kujichunguza kama kweli wanamuenzi Hayati Sokoine kwa vitendo na si nadharia.
| Mmoja wa wanachuo aliyepata nafasi ya kumuuliza Msemaji mkuu wa mhadhara Dr. Bilal |
mbalimbali.
| Wanachuo kutoka SUA wakisikiliza hotuba ya Msemaji mkuu wa Muhadhara Dr.Galib Bilal |
| Makamu wa Rais Tanzania Bara Dr. Bilal akijibu maswali yaliyoulizwa na mmoja wa wageni ktk mhadhara huo |
| Prof fessor Ngaga,Dean of faculty of Forestry and Nature Conservation(katikati)Balele Mwanahabari(kushoto)na Mr.Gaston Buberwa mara baada ya mhadhara |
| Makamu wa Rais akipokea zawadi maalumu kutoka kwa Mkuu wa chuo hicho(Al Noor Kassum) ya bidhaa zinazotengenezwa ktk Chuo kikuu cha Sokoine,(baadhi ya bidhaa hizo ni kalamu,vitabu,T-shirts na kofia) |
| WANACHUO KUTOKA SUA |
MBOWE MGENI RASMI KATIKA KONGAMANO LA WANAVYUO-MOROGORO
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA)/Mbunge wa HAI,ambaye pia ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Bwn, Freeman Mbowe,anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi ktk Kongamano kubwa la wanavyuo vikuu hapa Mjini Morogoro,balelemwanahabari.blogspot.com imeelezwa.
Kongamano hilo litakalohusisha wanavyuo kutoka Sokoine,Mzumbe,Muslim University,na vyuo vingine linatarajiwa kufanyika tar 1 desemba 2012 ktk ukumbi Uliopo Forest Hill Sec School.
Habari za kuaminika zinasema kua Bwn Freeman Mbowe ataambatana na Wbunge wengine vijana wa chama hicho kutoka majimbo mbalimbali hapa Tanzania.
List kamili ya Wabunge hao inatarajiwa kutajwa mda wowote kuanzia sasa,ambapo balelemwanahabari.blogspot.com itakujuza mara moja kuhusiana na list ya wabunge hao.
Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA
Miongoni mwa hoja za msingi ni Pamoja na kuamsha hali ya siasa kwa wanavyuo ambao pia ni wasomi na viongozi watarajiwa, sanjali na hilo zoezi la kuwakaribisha mwaka wa kwanza kwa vyuo vyote litakua ni miongoni mwa shughuli ya msingi.
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ndicho chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania
Kongamano hilo litakalohusisha wanavyuo kutoka Sokoine,Mzumbe,Muslim University,na vyuo vingine linatarajiwa kufanyika tar 1 desemba 2012 ktk ukumbi Uliopo Forest Hill Sec School.
Habari za kuaminika zinasema kua Bwn Freeman Mbowe ataambatana na Wbunge wengine vijana wa chama hicho kutoka majimbo mbalimbali hapa Tanzania.
List kamili ya Wabunge hao inatarajiwa kutajwa mda wowote kuanzia sasa,ambapo balelemwanahabari.blogspot.com itakujuza mara moja kuhusiana na list ya wabunge hao.
Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA
![]() |
| Mh. Mbowe Katika moja ya Harakati zake |
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ndicho chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)